Kukusanya habari na mitandao ya jamii

Unatafuta mrejesho na kupata mawazo yatayozaa taarifa mpya? Angalia maoni ya wateja wako mtandaoni!

Wateja wako wanazungumza nini mtandaoni? Wanauliza maswali gani? Wanataka kujua nini? Mitandao ya jamii ni ala ya kufanyia utafiti ambayo waandishi wa habari hawawezi kuidharau na ni pahala pazuri kutafuta habari mpya.

“Ni muhimu kutumia ujuzi uleule unaotumia kwa  habari  nyengine”. – Gabriela Torres, mtayarishi wa taarifa za mtandaoni, World Service.

Hata hivyo, uwe muangalifu - hadithi nyingi za mtandaoni sio za kweli!

Siku zote unahitaji kuthibitisha taarifa. Aliyetangaza habari hizo anaaminika? Habari zenyewe ni za sasa? Watu wengine wamepokea vipi habari hizo?

 

 

 

Saini ya mfanyakazi

Subiri, tuhakikishe ikiwa unahusika na mtandao wa kazini wa BBC

Samahani, hatukuweza kuthibitisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa BBC

  • Tafadhali hakikisha umo katika mtandao wa kazini wa BBC
  • Tafadhali hakikisha kiungo unachojaribu kufikia ni sahihi
Funga na uendelee

Umekubalika katika mtandao wa BBC

Funga na uendelee