Kujishughulisha na mitandao ya kijamii

Sikiliza wateja wako, tafuta wakati gani wanajishughulisha na mtandao na ulenge taarifa zako kwa majukwaa tofauti.

Maingiliano na wateja yanahitaji pande mbili. Watangazaji wanatakiwa kujibu maswali na matamshi muafaka mtandaoni, ama sivyo wateja wanaweza kuona wanatengwa.

“Daima kumbuka kutafuta njia mpya ya kuwasiliana na wateja wako” – Leyla Najafli – mtayarishi wa  taarifa za mitandao ya jamii, BBC World Service.

Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat na mitandao mengine ya kijamii yote inatumia mitindo tofauti kwa hivyo ni muhimu kubadilisha video zako, maandishi na picha.

Piya ni muhimu kuibadilisha lugha ya matusi au chuki. Watu wanafaa kuwa na uhuru wa kueleza maoni yao kwenda mtandao, lakini sio ikiwa ataumiza mtu mwengine au kumtia hatarini.

Saini ya mfanyakazi

Subiri, tuhakikishe ikiwa unahusika na mtandao wa kazini wa BBC

Samahani, hatukuweza kuthibitisha kuwa wewe ni mfanyakazi wa BBC

  • Tafadhali hakikisha umo katika mtandao wa kazini wa BBC
  • Tafadhali hakikisha kiungo unachojaribu kufikia niĀ  sahihi
Funga na uendelee

Umekubalika katika mtandao wa BBC

Funga na uendelee