BBC navigation

Sudan Kusini

Imebadilishwa: 25 Agosti, 2014 - Saa 20:24 GMT
 • Serikali ya Sudan Kusini imesema kuwa itawafungulia mashitaka wahusika wakuu wa njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Salva Kiir.

  29 Januari 2014

 • Pande mbili zinazozozana Sudan Kusini zinalaumiana kwa uvunjaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano

  26 Januari 2014

 • Serikali ya Sudan Kusini yasema upinzani haukusitisha mapigano kama ilivyokubaliwa

  25 Januari 2014

 • Pande zinazozozana kwenye mgogoro wa Sudan Kusini zimetia saini mkataba wa kusitisha vita mjini Addis Ababa Ethiopia

  24 Januari 2014

 • Mataifa ya Afrika Mashariki yameidhinisha kupelekwa kikosi cha wanajeshi 5,500 nchini Sudan Kusini ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki kadhaa sasa.

  22 Januari 2014

 • Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amekosoa kikosi cha UN cha kulinda amani nchini humo UNMISS kwa kujihusisha na vita vya nchi hiyo madai ambayo UN imekanusha.

  21 Januari 2014

 • Jeshi la Sudan Kusini linasema kuwa limeukomboa mji muhimu wa Malakal kutoka kwa waasi ingawa waasi wamekanusha taarifa hizo

  20 Januari 2014

 • Mji wa Bor uliokombolewa hivi karibuni na wanajeshi wa Serikari umeharibika kabisa kufuatia mapambano na waasi.

  20 Januari 2014

 • Bor, mji mkuu wa jimbo la Jonglei la Sudan Kusini warudi tena mikononi mwa jeshi, lakini waasi wasema waliondoka bila ya kupigana

  18 Januari 2014

 • Serikali ya Sudan Kusini inasema kuwa jeshi lake limekomboa mji wa Bor kutoka kwa waasi wa Riek Machar.

  18 Januari 2014

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.