BBC navigation

Rwanda

Imebadilishwa: 26 Agosti, 2014 - Saa 15:42 GMT
 • Idhaa ya Kiswahili ya BBC itakuletea matangazo maalum kila siku kutoka Kigali kuanzia Jumatatu Tarehe 7 Aprili hadi Ijumaa tarehe 11 Aprili.

  7 Aprili 2014

 • Rwanda imesema kuwa ni asilimia mbili tu ya washukiwa wakuu wa mauaji ya kimbari ambao wameshakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria

  2 Aprili 2014

 • Rais Jacob Zuma wa Afrika-Kusini na Paul Kagame wa Rwanda wamekubaliana kuanzisha mazungumzo ya pamoja ya kumaliza mzozo wao wakidiplomasia.

  27 Machi 2014

 • Rwanda imekanusha ripoti iliyochapishwa na shirika la kimataifa la waandishi wasio na mipaka kuwa inawanyanyasa waandishi wa habari

  20 Machi 2014

 • Mahakama nchini Ufaransa, imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela Pascal Simbikangwa kwa kuhusika na mauaji ya kimbari mwaka 1994.

  15 Machi 2014

 • Rwanda imesema hatua ya kuwatimua maafisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini mjini Kigali ni ya haki na ilizingatia uchokozi ulioanzishwa na Afrika Kusini .

  14 Machi 2014

 • Afrika Kusini imewahusisha wanadiplomasia 3 wa Rwanda waliofurushwa kutoka nchini humo na njama ya mauaji ya wapinzani wa Kagame wanaoishi Afrika Kusini.

  13 Machi 2014

 • Afrika Kusini imetoa onyo kali kwa Rwanda huku mzozo wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota kuhusu njama ya mauaji.

  12 Machi 2014

 • Wajumbe kutoka mataifa 25,ya Afrika pamoja na wadau wa sera za uongozi bora wanakutana mjini Kigali, kuzungumzia uongozi bora kama nyenzo za maendeleo endelevu

  10 Machi 2014

 • Rwanda na Afrika Kusini yajibizana, kila mmoja afukuza wanabalozi wa mwenzake

  8 Machi 2014

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.