BBC navigation

Libya

Imebadilishwa: 21 Julai, 2014 - Saa 08:11 GMT
 • Mamlaka nchini Libya imesema kuwa imeshindwa kudhibiti idadi ya wahamiaji wanaotaka kuingia Ulaya kwa kutumia mlango wa nyuma.

  31 Mei 2014

 • Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John kerry amekubali kutoa ushahidi mbele ya bunge la Congress

  24 Mei 2014

 • Ubalozi wa Saudi Arabia umefunga ofisi zake mjini Tripoli kutokana na otovu wa usalama nchini humo.

  19 Mei 2014

 • Maafisa nchini Libya wanasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika vita mjini Benghazi imeongezeka na kufikia zaidi ya 70.

  18 Mei 2014

 • Wizara ya afya ya Libya imesema zaidi ya watu 40 wameuwawa mjini Benghazi siku Ijumaa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu.

  17 Mei 2014

 • Makabiliano makali nchini Libya yamesababisha vifo vya watu 24 baada ya jeshi la angani la taifa hilo kuanzisha mashambulizi.

  17 Mei 2014

 • Watu wenye silaha wameshambulia makao makuu ya jeshi la usalama na kuua askari watano mjini Benghazi, Libya

  2 Mei 2014

 • Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua waziri mkuu mpya.

  30 Aprili 2014

 • Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya.

  15 Aprili 2014

 • Meli kubwa ya mafuta mali ya serikali ya Libya inashikiliwa na kikosi cha maalum cha wanamaji wa Marekani baada ya kukamatwa katika bahari ya kimataifa kusini mwa Cyrus.

  19 Machi 2014

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.