BBC navigation

afrika magharibi

Imebadilishwa: 5 Julai, 2014 - Saa 19:38 GMT
 • Wataalamu wa afya wanasema wamewatenga watu 4 katika wadi ya hospitali moja mjini humo. Zaidi ya watu 60 wamefariki nchini humo.

  28 Machi 2014

 • Charles Ble Goude, mshirika mkubwa wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagb, amefikishwa katika mahakama ya kimataifa ya jinai ICC.

  27 Machi 2014

 • Maiti zilizooza na watu waliofungwa minyororo wakutikana kwenye nyumba moja mjini Ibadan, kusini-magharibi mwa Nigeria

  23 Machi 2014

 • Watu kadha waliokuwa wakitafuta kazi mjini Abuja Nigeria, wamefariki katika msongamano ndani ya uwanja wa michezo wa taifa

  16 Machi 2014

 • Wakaazi kaskazini mashariki mwa Nigeria wakasirishwa na hatua ya jeshi kuondoa vituo vya ukaguzi kabla ya shambulio la Jumatatu

  26 Februari 2014

 • Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram wametuhumiwa kuua wanafunzi kadhaa nchini Nigeria

  25 Februari 2014

 • Polisi nchini Togo wamewakamata watu watatu baada ya kuwanasa na tani mbili za pembe za Ndovu wakizafirisha kwenda Vietnam

  29 Januari 2014

 • Mapigano mapya yametokea tena katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, kati ya Waislamu na Wakristo

  20 Januari 2014

 • Ghasia zilizoanza Ijumaa mjini Tripoli, Libya, zaendelea baina ya wanamgambo wa jiji na wale kutoka mji wa Misrata

  16 Novemba 2013

 • Marekani imeyatangaza makundi ya Boko Haram na Ansaru kuwa ya kigaidi na sasa hawastahili kupewa misaada

  14 Novemba 2013

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.