BBC navigation

Afrika Kusini

Imebadilishwa: 21 Agosti, 2014 - Saa 23:32 GMT
 • Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema hadhani ni sawa kurejesha fedha zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafsi kwa sababu sio yeye aliyeagiza ukarabati huo

  31 Machi 2014

 • Kesi dhidi ya Oscar Pistorius imeahirishwa hadi Aprili tarehe 7 baada ya jaji mmoja aliyekuwa akiisikiza kuugua .

  28 Machi 2014

 • Rais Jacob Zuma wa Afrika-Kusini na Paul Kagame wa Rwanda wamekubaliana kuanzisha mazungumzo ya pamoja ya kumaliza mzozo wao wakidiplomasia.

  27 Machi 2014

 • Aliyekuwa mpenzi wa Oscar Pistorus, marehemu Reeva Steenkamp, alimtumia ujumbe wa simu kumwambia kuwa alikuwa anamuogopa.

  24 Machi 2014

 • Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.

  21 Machi 2014

 • Katibu mkuu wa ANC amepuuzilia mbali wito kuwa Rais Zuma aondolewe mamlakani au ajiuzulu baada ya kuhusishwa na ufisadi.

  20 Machi 2014

 • Ripoti kuhusu ufisadi nchini Afrika Kusini, imemkosoa vikali Rais Jacob Zuma kwa kuikarabati nyumba yake binafasi kwa kutumia pesa za Umma.

  19 Machi 2014

 • Mtaalamu wa mabomu katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, amesema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipomuua Reeva Steenkamp

  19 Machi 2014

 • Mkuu wa idara ya kupokea malalamishi ya umma, Bi Thuli Madonsela, hivi leo anatarajiwa kutoa ripoti ya idara hiyo kuhusu iwapo Rais Jacob Zuma alihusika katika ufisadi

  19 Machi 2014

 • Nigeria imeteta vikali kuhusu polisi wa Afrika Kusini walionaswa katika kanda ya video wakimtesa kinyama raia wa Nigeria mjini Cape Town.

  13 Machi 2014

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.