BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 14 Novemba, 2009 - Imetolewa 12:09 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Waasi wa Ethiopia wakamata miji
 
Ramani ya Ethiopia
Ramani ya Ethiopia
Waasi wa kikabila wa Kisomali kusini mashariki mwa Ethiopia wamesema wameshambulia majeshi ya serikali na kukamata miji kadhaa.

Waasi hao wa Ogaden National Liberation Front (ONLF) wamesema siku ya Jumanne walianza kushambulia mistari ya mbele ya uwanja wa mapambano.

Wakieleza zaidi waasi hao wamesema "idadi kubwa" ya wanajeshi wa Ethiopia waliuawa na zana zao wamezikamata.

Taarifa hizo bado hazijathibitishwa na siku za nyuma Ethiopia imekuwa ikupuuza taarifa hizo za waasi kufanikiwa katika medani ya kivita.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha