BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 12 Novemba, 2009 - Imetolewa 03:18 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Maporomoko yaua 20 Tanzania
 
Watu 20 wamefariki nchini Tanzania kutokana na maporomoko ya ardhi yaliyotokana na mvua zinazonyesha.

Tukio hilo limetokea katika mkoa wa kaskazini wa Kilimanjaro, wenye milima mingi.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Monica Mbega ameiambia BBC kuwa watoto saba ni kati ya watu waliofariki katika tukio hilo.

Bi Mbega amesema miili18 imepatikana katika eneo la tukio huko miili miwili imekutwa ikielea mtoni.

Hii ni mara ya kwanza kwa maporomoko ya aina hii kutokea katika eneo hilo.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha