BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 09 Novemba, 2009 - Imetolewa 18:35 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Wamarekani washitakiwa kwa 'ujasusi' Iran
 
Wamarekani watatu wanaoshikiliwa nchini Iran kwa tuhuma kuingia nchini humo kinyume cha cheria, watashitakiwa kwa makosa ya ujasusi.

Shirika la habari la Iran, IRNA limesema wamarekani hao, Shane Bauer, sarah Shroud na Joshua Fattal, wanashikiliwa na mamlaka za Iran tangu mwishoni mwa mwezi Julai.

Watatu hao wanadhaniwa kuvuka mpaka kimakosa, wakati wakifanya matembezi katika eneo la Wakurdi, nchini Iraq.

Akizungumza mjini Berlin, Ujerumani, waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Hilary Clinton amelaani taarifa hizo na kutoa wito wa watu hao kuachiliwa.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha