BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 05 Novemba, 2009 - Imetolewa 10:53 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Kamanda wa waasi Uganda ajisalimisha
 
Kamanda mmoja mkuu wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda, amejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo.

Charles Arop alikuwa mmoja wa makamanda wa kundi hilo aliyetuhumiwa kuongoza mauaji ya halaiki wakati wa krimasmasi kaskazini mashariki mwa Congo ambapo watu miamoja arobaini na tatu raia wa Congo waliuawa.

Msemaji wa jeshi la Uganda Meja Felix Kulayigye akiongea na BBC amesema tayari kamanda huyo amepelekwa katika mji wa Gulu Uganda.

Inaarifiwa kamanda Arop alijisalimisha siku ya jumanne kwa wanajeshi wa Uganda wanaoshika doria kaskazini mashariki kwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha