BBCSwahili.com
Maziwa Makuu
Kisomali
Arabik
Kifaransa kwa Afrika
Turqisht
 
Mara ya mwisho imebadilishwa: 02 Novemba, 2009 - Imetolewa 15:08 GMT
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
Wauaji albino wahukumiwa kifo Tanzania
 
Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania, amewahukumu kunyongwa watu wanne waliopatikana na hatia ya mauaji ya mlemavu wa ngozi yaani albino mwaka uliopita.

Mwandishi wa BBC huko magharibi mwa Tanzania, aliyekuwepo mahakamani wakati hukumu hiyo ikitolewa, amesema watu hao wamebainika na hatia ya kufanya mauaji hayo katika wilaya ya Bariadi mwishoni mwa mwaka jana.

Hii ni hukumu ya pili ya kifo kutolewa katika kipindi cha takriban mwezi mmoja dhidi ya watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya albino ambayo yalianza kujitokeza miaka miwili iliyopita nchini humo.

 
 
HABARI MPYA
 
 
Mtumie rafiki barua pepe   Chapisha
 
  Idhaa Yetu | Wasiliana Nasi
 
BBC Copyright Logo ^^ Rejea Juu
 
  Habari | Hali Ya Hewa
 
  BBC News >> | BBC Sport >> | BBC Weather >> | BBC World Service >> | BBC Languages >>
 
  Msaada | Wasiliana nasi | Maelezo ya Faragha