Michuano ya Olimpiki London 2012

Imebadilishwa: 7 Februari, 2012 - Saa 11:41 GMT

London 2012 imesema mfumo wake wa uuzaji tiketi za michuano ya Olimpiki wa mara ya pili utaanza tena hivi karibuni

David Beckham ameelezea dhamira yake ya kutaka kuiongoza timu ya Uingereza itakayoshiriki katika michuano ya soka katika mashindano ya Olimpiki

Usain Bolt atajitokeza kwa mara ya kwanza katika mbio za kimataifa nwaka 2012 wakati atakaposhiriki michuano ya Bislett mjini Oslo Juni 7

Tathmini ya kwanini wakimbiaji kutoka Afrika Mashariki wanawika zaidi duniani kuliko wengine. Utaona kuna utafiti mwingi na imani mbalimbali

Bingwa wa dunia na Olimpiki Asbel Kiprop kutoka Kenya ameshinda kirahisi mbio za kilomita tatu kwa wanaume katika mbio za nyika za Great Edinburgh

  • Wachezaji watarajiwa katika michuano ya London 2012. Tazama picha na habari za wanamichezo wanaofuatiliwa na BBC na ambao wanatazamiwa kushirkimi michuano ya London 2012

[an error occurred while processing this directive]

bbc.co.uk navigation

BBC © 2012 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.