Huwezi kusikiliza tena

Twitter kufuta picha za waliofariki

28 Agosti 2014 Imebadilishwa mwisho saa 16:24 GMT

Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajiwa kuanza kufuta picha za watu waliofariki ambao katika maisha yao walikuwa wanatumia mtandao huo.

Kwa taarifa hii na nyinginezo tazama hapa.