Huwezi kusikiliza tena

Eric David Nampesya azipa tabu Tumba

12 Agosti 2014 Imebadilishwa mwisho saa 11:41 GMT

Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya afichua kipaji kilichojificha.

Ilikuwa katika sherehe za kufungua rasmi ofisi za BBC mjini Dar es Salaam Tanzania mnamo siku ya Jumatatu tarehe 11.