Huwezi kusikiliza tena

Tamasha la kabila la Karamoja Uganda

6 Agosti 2014 Imebadilishwa mwisho saa 06:10 GMT

Nchini Uganda, katika eneo la Karamoja, kwa mara ya kwanza katika miaka mingi limefanyika tamasha la kijadi katika eneo la Moroto.

Maelfu ya watu walipoteza maisha yao, lakini juhudi za majadiliano zinasababisha kunyang'anywa silaha kwa makundi, na kuleta mabadiliko.

Kassim Kayira amekwenda Karamoja.