BBC navigation

Ziara ya Navi Pillay Sudan Kusini

Imebadilishwa: 2 Mei, 2014 - Saa 17:08 GMT

Media Player

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, ukiongozwa na Navi Pillay, umekuwa mjini Juba, kujionea hali ilivyo nchini Sudan Kusini.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, ukiongozwa na afisa wake mkuu anayehusika na masuala ya haki za binadamu, Navi Pillay, umekuwa mjini Juba, kujionea hali ilivyo nchini Sudan Kusini.

Ziara hiyo ni kufuatia Umoja wa Mataifa awali kuelezea mauaji ya mamia ya raia wa Sudan Kusini hivi karibuni, baada ya kuvamiwa na waasi katika mji wa Bentiu, yalikuwa ni ya kutisha mno.

Emmanuel Igunza ana maelezo zaidi kutoka Bor.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.