BBC navigation

Makao ya watuhumiwa wa mauaji Rwanda

Imebadilishwa: 10 Aprili, 2014 - Saa 13:56 GMT

Media Player

Licha ya kuachiwa uhuru Je wajua kuna watu wameogopa kurejea Rwanda

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Kufuatia mauaji ya kimbari ya mwaka 94 nchini Rwanda, Umoja wa Mataifa uliunda mahakama maalum ya kuwashtaki washukiwa wa mauaji hayo, makao yake yakiwa mjini Arusha Tanzania.

Miongoni mwa washukiwa kulikuwa na watu kumi na wanne, maafisa wa wakuu wa zamani katika serikali, ambao hawakukutwa na hatia, lakini hawana pa kwenda.

Wanaogopa kwenda Rwanda, na hawawezi kuhamia nchi nyingine.

Anne Soy amewatembelea mjini Arusha na kuandaa taarifa hii.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.