BBC navigation

Wizzy anogesha sanaa Nigeria

Imebadilishwa: 25 Machi, 2014 - Saa 15:25 GMT

Media Player

Wizzy au Wizkid, ni mshindi wa tuzo mbalimbali na nyota maarufu nchini Nigeria na nje ya mipaka.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wiki hii yote BBC itakuwa na kipindi kinachoitwa Nigeria Xtra kikiongozwa na DJ Edu, ambaye ametembelea jiji la Lagos na kugundua wasanii mahiri na midundo motomoto ya Nigeria.

Na aliyeanza naye ni mshindi wa tuzo mbalimbali Wizkid, nyota maarufu nchini kwake na nje ya mipaka.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.