BBC navigation

Onyo kwa wapenzi wa jinsia moja UG

Imebadilishwa: 25 Februari, 2014 - Saa 13:38 GMT

Media Player

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameidhinisha sheria mpya ya wapenzi wa jinsia moja ambayo inatoa adhabu ya maisha jela kwa wenye hatia.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameidhinisha sheria mpya ya wapenzi wa jinsia moja.

Akitia saini mbele ya waandishi wa habari na mawaziri waliokuwa wanashangilia, amesema masuala ya wapenzi wa jinsia moja yamechochewa na makundi ya mataifa ya magharibi yalio na kiburi.

Wakati huo huo makundi ya kutetea haki za wapenzi hao yameshutumu vikali hatua hiyo ya Rais Museveni.

Ifuayato ni taarifa ya Alli Mutasa kutoka Kampala.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.