Huwezi kusikiliza tena

Ukeketaji wahamishiwa Uingereza

6 Februari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 16:03 GMT

Kote duniani zaidi ya wasichana milioni 30 wako katika hatari ya kukeketwa katika kipindi cha miaka kumi ijayo, kulingana na shirika la Unicef.

Utamaduni huo unafanywa na jamii za watu katika Mashariki ya kati,Afrika na Asia na ni tatizo linalokithiri katika mataifa mengi ambako wanahamia.

Moja ya nchi zilizoathirika ni Uingereza ambako serikali inajaribu kukomesha utamaduni huo kama inavyoeleza taarifa hii.