Ann Waithera: BBC itakavyomuenzi

29 Januari 2014 Imebadilishwa mwisho saa 13:32 GMT

Aliyekuwa mfanyakazi wa BBC Anne Waithera ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Wafanyakazi wenzake katika idhaa ya dunia ya BBC wametoa rambi rambi zao na kuelezea watakavyomkumbuka Ann. Wanyama Chebusiri na wasifu wake