BBC navigation

Mitumba ya nguo za ndani yazagaa TZ

Imebadilishwa: 22 Januari, 2014 - Saa 14:48 GMT

Media Player

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Licha ya kupigwa marufuku nguo za ndani za mitumba nchini Tanzania kutokana na sababu za kiafya, bado biashara inaonekana kunawiri.

Nguo hizo zinawavutia watu wa kipato cha chini kutokana na bei zake za chini.

Shirika la udhibiti wa viwango Tanzania TBS limekuwa likifuatialia ubora wa nguo hizo kama ilivyo kwa bidhaa nyingine baada ya hivi karibuni kupiga marufuku ununuzi wa nguo hizo.

Mwandishi wa Dar es Salaam Leonard Mubali ametembelea moja ya soko la Karume Jijini hapo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.