BBC navigation

Katiba mpya italeta afueni Misri?

Imebadilishwa: 14 Januari, 2014 - Saa 13:33 GMT

Media Player

Wanaounga mkono rasimu ya katiba mpya wanasema kuwa itaimarisha demokrasia katika siku za usoni.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wapiga kura nchini Misri wanaigia kura ya maamuzi rasimu ya katiba mpya. Shughuli hii itandelea kwa siku mbili zijazo.

Wanaounga mkono rasimu hiyo ya katiba wanasema kuwa itaimarisha demokrasia katika siku za usoni.

Rasimu hiyo pia inahakiki haki za makundi yanayobaguliwa kama Wakristo, mbali na kudhibiti mamlaka ya jeshi ikiwemo hali ya raia kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi.

Katiba hii italeta mabadiliko yapi?

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.