BBC navigation

Nyayo za Mandela Ethiopia

Imebadilishwa: 13 Disemba, 2013 - Saa 18:52 GMT

Media Player

Tesfaye alikuwa mmoja wa watu waliokutana uso kwa uso na Mandela anasimulia kumbukumbu alizonzao kuhusu shujaa wa Afrika Mandela

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Hayati Mandela wakati wa uhai wake, alitembelea sehemu nyingi duniani.

Lakini mahala pa kwanza alipotolea hotuba yake kwa dunia ilikuwa Ethiopia ambako Tesfaye alikuwa mmoja wa watu waliokutana uso kwa uso na Mandela, na anasimulia kumbukumbu alizonazo kuhusu shujaa huyo wa Afrika Mandela

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.