Huwezi kusikiliza tena

Mama Swai:Mandela alinifunza uvumilivu

9 Disemba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 18:17 GMT

Haya ni mahojiano na Bi Vicky Nsilo Swai mkewe marehemu Nsilo Swai, ambaye ni waziri katika serikali ya Tanzania.

Kwnye haya mahojiano anakumbuka alivyokutana na Nelson Mandela na anazungumzia maisha yake.