BBC navigation

Motorolla yazindua simu yake mpya

Imebadilishwa: 18 Novemba, 2013 - Saa 04:56 GMT

Media Player

Motorola inayomilikiwa na Google imezindua simu ya kisasa ya gharama ndogo ikiwa na sifa ambazo hupatikana kwenye simu za gharama kubwa.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Kampuni ya simu ya Motorola inayomilikiwa na Google sasa imezindua simu ya kisasa ya gharama ndogo ikiwa na sifa ambazo hupatikana kwenye simu za gharama kubwa.

Simu hizo aina ya Moto G zitauzwa kwa pauni 135 nchini Uingereza na dola 179 nchini Marekani.Wachambuzi wa mambo wanaona kuwa soko la simu hizi mpya litaongezeka maradufu.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.