BBC navigation

Nani anaweza kufufua muziki wa Mali?

Imebadilishwa: 15 Oktoba, 2013 - Saa 11:05 GMT

Media Player

Wanamuziki wa kimataifa wamebisha hodi Mali kujaribu kufufua muziki wa nchi hiyo kwani sauti yake inafifia kula kukicha

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Baadhi yenu mtaweza kukumbuka treni ya wasanii wa Africa Express ambayo iliwabeba wasanii 80 kutoka Ulaya , Africa na semehu zengine duniani kwa muda wa wiki moja mwaka jana.

Wazo hili lilikuwa la wasanii kushirikiana na kuchangia muziki wao.

Basi kukukumbusha tu kuwa Africa Express imerejea tena mwaka huu nchini Mali. Kwa kawaida, tamasha hili hufanyika mara mbili katika sehemu moja. Lakini mwaka huu Mali ni eneo maalum ambalo limeshuhudia mgogoro wa kisiasa hivi karibuni na huko ndiko tamasha linafanyika.

Na mwaka huu basi, wanamuziki wanatafuta sana kutoa album ya muziki wa Mali.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.