BBC navigation

Wanawake mabaharia wa Mombasa Kenya

Imebadilishwa: 15 Oktoba, 2013 - Saa 10:06 GMT

Media Player

Vijana wengi wanakataa kuwa mabaharia wakidai haina tija ya kutosha. Lakini akina dada wanaichangamkia fursa ya kusomea ubaharia. Na Jaumuri Mwavyombo

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Licha ya kuwa na fursa nyingi za kiuchumi, fani ya ubaharia imezorota katika pwani ya Afrika Mashariki hali iliyowafanya mabaharia wakongwe kukata tamaa .

Imeripotiwa kuwa vijana wengi wanakataa kuwa mabaharia wakidai haina tija ya kutosha.

Lakini licha ya kutokuwa na meli binafsi sasa serikali ya kenya imezindua upya mitaala ya mafunzo ya ubaharia vyuoni.

Na kama alivyobaini mwenzetu Jamhuri Mwavyombo sasa akina dada wanaichangamkia fursa ya kupata elimu ya ubaharia.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.