Samsung iliyojipinda, waifahamu?

11 Oktoba 2013 Imebadilishwa mwisho saa 12:26 GMT

Kampuni ya simu ya Samsung imezindua simu mpya ya Smartphone iliyojipinda. Ikiwa inafanana na baadhi ya televisheni ambazo zimejipinda simu hiyo kwa jina 'Galaxy Round' inatumia programu iitwayo, OLED.