BBC navigation

Maisha ya wanajeshi watoto

Imebadilishwa: 14 Agosti, 2013 - Saa 16:16 GMT

Media Player

Wanajeshi watoto waliolazimishwa kujiunga na wapiganaji waasi wanavyojaribu kurejea katika maisha ya kawaida Uganda.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Watoto wanaolazimishwa kujiunga na jeshi katika nchi zenye mapigano huwa wanapitia wakati mgumu.

Hukabiliwa na safari ndefu ya kujaribu kurejea katika maisha ya kawaida wanapofanikiwa kutoroka. Shirika moja la misaada Kaskazini mwa Uganda, katika wilaya ya Gulu linasaidia wapiganaji wa zamani ambao walichukuliwa wakiwa watoto, kuweza kurejea katika jamii.

Ali Saleh anasimulia.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.