BBC navigation

Buriani kwa wanajeshi TZ

Imebadilishwa: 24 Julai, 2013 - Saa 14:03 GMT

Media Player

Wanajeshi hao walikuwa katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa waliouawa na watu wasiojulikana Darfur

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Shughuli ya kuwaaga wanajeshi saba wa Tanzania waliouawa Darfur, Sudan ilifanyika Jumatatu mjini Dar es Salam.

Wanajeshi hao walikuwa katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa waliouawa na watu wasiojulikana.

Rais wa Tanzania amesema hilo halitawakatisha tamaa kusaidia upatikanaji wa amani. Hassan Mhelela ametuandalia taarifa hii kutoka Dar Es Salaam.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.