Huwezi kusikiliza tena

Mwanamfalme asubiriwa kwa hamu kuu

22 Julai 2013 Imebadilishwa mwisho saa 11:32 GMT

Mkewe Prince William, Kate Middleton anasubiriwa kwa hamu kuu kujifungua mwanao wa kwanza ambaye pia atakuwa mtoto wao wa kwanza . Kate alikimbizwa hospitalini mjini London kwa gari akiwa ameambatana na mumewe.