BBC navigation

Morani wajitosa kwenye Kricket

Imebadilishwa: 21 Juni, 2013 - Saa 07:08 GMT

Media Player

Licha ya kukosa mavazi ya mazoezi, vijana hawa wa MAASAI, wamevalia nguo zao za kitamaduni.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Licha ya kukosa mavazi ya mazoezi, vijana wa MAASAI, nchini Kenya hawajakoma katika amza yao kutaka kucheza mchoezo wa krikrti. Wamevalia nguo zao za kitamaduni. Kikosi hiki kilibuniwa baada ya mkufunzi wa kujitolea wa kriketi kutoka Afrika Kusini, Aliya Bauer alianza kuwafunza vijana hawa mchezo huo wakati alipokuwa anafnya mradi wa kutunza mazingira.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.