BBC navigation

Ajikimu kwa sanaa ya majeneza

Imebadilishwa: 3 Juni, 2013 - Saa 07:20 GMT

Media Player

Nchini Ghana, mazishi huegemea sana katika kusherehekea maisha ya mtu na majeneza huundwa kwa urembo wa hali ya juu na nyingine huwa miundo ya kiajabu ajabu.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Majeneza hutengezwa kwa miundo tofauti, inaweza kutengezwa kwa mbao ikiwa na mikono ya chuma na vyovyote vile. Lakini Nchini Ghana, mazishi huegemea sana katika kusherehekea maisha ya mtu na majeneza huundwa kwa urembo wa hali ya juu na nyingine huwa miundo ya kiajabu ajabu.

Muundaji mmoja mkuu wa majeneza alizuru Uingereza hivi karibuni na kuonyesha sanaa yake ya kutengeza majeneza na hata kutumai kuwa biashara yake inataweza kunawiri kwa kupata jicho la waingereza.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.