BBC navigation

Waigiza pingu za maangamizi Kenya

Imebadilishwa: 22 Aprili, 2013 - Saa 14:41 GMT

Media Player

Mchezo wa kuigiza wa shule ya upili ambao ulipigwa marufuku na maafisa wakuu wa elimu Kenya kwa kuchochea chuki baina ya makabila

Nchini Kenya, kilele cha mashindano ya kuigiza kwa shule za msingi, sekondari na vyuo, katika ngazi ya kitaifa kilifika Jumapili jioni, kwa onyesho la mchezo wa kuigiza uliozua utata. Mchezo huo uliandaliwa na shule ya ulipili ya wasichana ya Butere kutoka Magharibi ya Kenya.

Mchezo huo Shackles of Doom au Pingu za maangamizi, ulipigwa mafuruku na wizara ya Elimu kwa madai ya kuchochea chuki za kijamii lakini Mahakama ikabatilisha uwamuzi wa maafisa wa elimu. Kwa nini basi Shackles of Doom ilionekana kuzua utata.

John Nene alikuwa kwenye fainali hizo mjini Mombasa na kujionea mchezo wa Wasichana wa Butere na hii hapa taarifa yake.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.