BBC navigation

Mkono wa buriani kwa Bi Kidude

Imebadilishwa: 19 Aprili, 2013 - Saa 11:01 GMT

Media Player

Bi Kidude alikuwa na vipaji mbali mbali vilivyompatia umaarufu kote duniani ikiwa ni pamoja na kuimba na kupiga ala

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Visiwani Zanzibar, msanii mkongwe, Bi Kidude alizikwa mnamo Alhamisi baada ya kufariki dunia.

Bi Kidude alikuwa na vipaji vya aina mbali mbali vilivyompatia umaarufu kote duniani ikiwa ni pamoja na kuimba, kupiga ala na hata kufundisha unyago mabinti waliojiandaa kuolewa.

Mwandishi wetu Hassan Mhelela ametuandalia taarifa hii kutoka Unguja.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.