BBC navigation

Ubakaji 'silaha ya vita DRC'

Imebadilishwa: 15 Aprili, 2013 - Saa 07:25 GMT

Media Player

Wanajeshi wa zamani wasimulia wanavyowabaka wanawake na watoto wakati wa vita katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Nchi zilizostawi zaidi duniani, G8 zimeahidi kutoa ufadhili wa kukabiliana na janga la ubakaji katika maeneo ya Vita. Kitendo hicho kimekuwa kikifanywa na wapiganaji, na hata wanajeshi katika sehemu za vita na kutumiwa na zana za vita .

Moja ya nchi ambazo zimeathirika pakubwa kutokana na janga hili ni DRC ambako wanawake wengi na hata watoto wamepitia unyama huu wakati wanajeshi na waasi wakipambana eneo la Mashariki mwa nchi. Ann Mawathe alitembelea nchi hiyo kujionea hali inayowakumba wanawake na ambavyo wapiganaji wanatumia ubakaji kama silaha ya vita.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.