Huwezi kusikiliza tena

Kunkucha mjini Mogadishu!

4 Aprili 2013 Imebadilishwa mwisho saa 08:00 GMT

Takriban miaka miwili, baada ya wanamgambo wa kiisilamu wa al-Shabab nchini Somalia kufurushwa mjini Mogadishu,maisha yanaanza kurejelea hali ya kawaida.

Moja ya mabadiliko makubwa yanayoshuhudiwa ni kuanza kunawiri kwa shughuli nyakati za usiku katika mji mkuu. Kama inavyosimuliwa kwenye taarifa hii