Raila Odinga.Nini matarajio yake?

4 Machi 2013 Imebadilishwa mwisho saa 13:44 GMT

Waziri Mkuu Raila Odinga alipata wadhifa wake baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 kukumbwa na utata na kusababisha vurugu. Je nini matarajio yake katika uchaguzi huu?