BBC navigation

Wakimbizi wa ndani Kenya wangali taabani

Imebadilishwa: 1 Machi, 2013 - Saa 16:33 GMT

Media Player

Uchaguzi wa Kenya unakuja wakati kuna mazingira ya wasiwasi na hofu ya kutokea ghasia kama 2007

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Athari za ghasia za baada ya uchaguzi mwaka 2007 zingali wazi nchini Kenya. Maelfu walifariki huku maelfu ya wengine wakiachwa bila makao. Serikali ya Kenya bado haijawapa makao mbadala wakimbizi, hao. Hii hapa taarifa ambayo inasimulia maisha ya wakimbizi hao wa ndani Kenya

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.