BBC navigation

Nilibakwa wakati wa ghasia 2007

Imebadilishwa: 27 Februari, 2013 - Saa 16:55 GMT

Media Player

Je niko tayari kupiga tena kura licha ya dhulumza nilizopitia?

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Machafuko ya Uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya yaliathiri vibaya jamii, baadhi bado zinauguza vidonda vya dhuluma walizotendewa.

Kwa wanawake wawili wakaazi wa mtaa wa mabanda wa Kibera nchini humo hawatasahau yaliyowapata baada ya kupiga kura zao.

wako tayari kupiga tena kura licha ya dhulumza walizopitia?

Zainab Deen alizungumza nao, ni Zubeda na Fatuma.

Tumezuia majina yao halisi kwa sababu ya usalama wao.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.