BBC navigation

Mlemavu? Mimi sio mlemavu.

Imebadilishwa: 29 Oktoba, 2012 - Saa 10:45 GMT

Media Player

Licha ya kukabiliwa na changamoto nyingi maishani, baadhi ya walemavu nchini Kenya, wamekataa kukubali hali yao kuyaathiri maisha yao ya kila siku.

Mjini Naivasha mwandishi wetu Paul nabiswa amekutana na Godfrey Ipalei, mlemavu ambaye ingawa hana mikono, ameandika kitabu kinachosema kuwa yeye si mlemavu. Na atapa mwangaza kuhusu nani hasa ni mlemavu.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.