Ongezeko la watu Uganda

Imebadilishwa: 10 Oktoba, 2012 - Saa 08:38 GMT

Media Player

Idadi ya watu wa Uganda imeongezeka tangu mwaka 1960 ambapo watu walikuwa milioni 6.6. Kwa sasa nchi hiyo ina watu milioni 34.5.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Uganda ina ongezeko kubwa la watu duniani. Kiwango cha uzazi cha nchi hiyo kwa sasa ni watoto 5.9 kwa kila mwanamke. Idadi ya watu wa Uganda imeongezeka tangu mwaka 1960 ambapo watu walikuwa milioni 6.6. Kwa sasa nchi hiyo ina jumla ya watu milioni 34.5. Ifikapo mwaka 2050 Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa idadi hiyo itakaribia watu milioni 100 ambayo ni mara tatu ya idadi ya sasa.

Mwandishi wetu Idd Seif anaripoti kutoka Kampala.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.