Nilivyonusurika kifo kutokana na madawa

Imebadilishwa: 9 Oktoba, 2012 - Saa 09:32 GMT

Media Player

Fatma Musau ameasi uraibu sasa kwa miaka kumi na saba. Alisimulia alivyonusurika kifo na alivyotumia talanta yake ya kuandika kujiliwaza

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Uraibu wa madawa ya kulevya ni tatizo sugu nchini Kenya hasa pwani mwa nchi hiyo. Shirika la kupamana na utumiaji huo limekuwa likifanya miradi mingi tu kusadia vijana hasa waliotumbukia kwenye uraibu kuweza kujikwamua.

Fatma Musau ni mmoja wa wale waliaosi uraibu sasa kwa miaka kumi na saba. Alisimulia alivyonusurika kifo na alivyotumia talanta yake ya kuandika kujiliwaza wakati wa uraibu wake.

Aliongea na Zainab Deen kuhuhusu alivyoweza kujikwamua kutokana na uraibu wa madawa ya kulevya na ambavyo anawasaidia wanawake wengine waliokuwa kama yeye miaka kumi na saba iliyopita

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.