Mustakabali mwema kwa Somalia

Imebadilishwa: 5 Oktoba, 2012 - Saa 15:02 GMT

Media Player

Umoja wa Mataifa utajihusisha zaidi na Somalia baada ya makali ya Al Shabaab kupunguzwa

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Mapema wiki hii majeshi ya AMISON yaliuteka mji wa Kismayo ambayo ilikuwa ngome kuu ya Al-Shabaab na hivyo kutoa matumaini makubwa kuwa Somalia huenda ikawa nchi thabiti.

Kufuatia hatua hiyo mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Somalia, Augustin Mahiga, alisema kwamba Umoja wa Mataifa inajiandaa kuhusika zaidi na maswala ya Somalia ili kusaidia nchi hiyo katika mustakabali wake.

Alitoa kauli hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Nairobi, Kenya.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.