Wakulima wa Kakao mashakani

Imebadilishwa: 3 Oktoba, 2012 - Saa 13:14 GMT

Media Player

Wanadi kuwa serikali ya Ovory Coast haiwasaidii sana badala yake inajinufaisha yenywe.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Thuluthi moja ya kilimo cha Kakao nchini Ivory Coast ndio inayoingia kwenye mamilioni ya Chokleti kila mwaka. Lakini kwa Wakulima wa nchi hiyo ambayo inatoa Kakao nyingi duniani, wako mashakani.

Serikali haiwasaidii sana badala yake inajinufaisha yenywe. Wiki hii Serikali itaanzisha mfumo mpya ili kuweka bei moja kwa lengo la kuwanufaisha Wakulima. Peter Musembi anatufahamisha zaidi:

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.