Nipe nikupe ya Silaha na Komputa

Imebadilishwa: 3 Oktoba, 2012 - Saa 07:26 GMT

Media Player

Mpango mpya umeanzishwa nchini Libya kuwashawishi wananchi kurejesha silaha na kuzawadiwa

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Serikali ya Libya imeanzisha mpango maalum wa kuwataka watu nchini humo kusamilisha silaha. Na sio hilo tu, bali serikali badala yake inawapa wananchi waliorejesha silaha zao tarakilishi aina ya Laptop, wanaweza kushinda magari na hata televisheni kubwa.

Je unadhani mpango huu utawashawishi watu kuachana na silaha wakati Libya ingali inakumbwa na hali mbaya ya usalama? silaha hizo zilizagaa miongoni mwa wananchi baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomng'oa mamlakani Muamar Gaddafi.

Taarifa hii inasimulia mpango huo mpya.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.