Zao la Michikichi ladorora Tanzania

Imebadilishwa: 17 Septemba, 2012 - Saa 16:32 GMT

Media Player

Zao la michikichi lilikuwa lanawiri Kigoma inagawa sasa kilimo hicho kimedorora.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Katika miaka ya 60 na 70, mkoa wa Kigoma ulioko Magharibi mwa Tanzania ulijipatia umaarufu kwa uzalishaji wa zao la Michikichi, ingawa sasa kilimo hicho kimedorora.

Hata hivyo wakazi wa maeneo hayo wameendeleza utaalam wa kukamua mafuta ya mawese na kuwa tegemeo la kiuchumi kwa familia nyingi.

Hassan Mhelela amezuru Kigoma hivi karibuni alikotuandalia taarifa hii.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.