BBC navigation

Ni miaka 40 tangu wafukuzwe na Idd Amin

Imebadilishwa: 3 Septemba, 2012 - Saa 12:20 GMT

Media Player

Wahindi walianza kuwasili nchini Uingereza miaka ya sabini walipofukuzwa Uganda na Idd Amin.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wahindi walianza kuwasili nchini Uingereza miaka ya sabini walipofukuzwa Uganda na Idd Amin. Na sasa wanaadhimisha miaka 40 tangu walipofukuzwa. Walipewa hifadhi nchini Uingereza na tangu hapo wengi wamejikita katika biashara . Peter Musembi amevinjari mitaa wanakoishi wahindi mjini Leicester kujionea maisha yao.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.